Saturday, December 29, 2012

                                             DMM!

                              DAR-MPAKA-MORO! 

Jana katika soso fresh DAUDI WA KOTA alitoa ushuuda juu ya bata kwanda, bata kufika na bata kuludi!!! wakati daudi anatoa info kulikuwa na wadau mbalimbali studio uku wakiongozwa na the gossip cop him self. Mpaka dakika hizi raiya wapo batani!!!!


Mikausho mikali!!!!!

                             KAMA JUZI NA JANA!!!!

Unaweza sema ni masihara ila huu ndo ukweli wenyewe, pia unaweza sema blog ZIMEKUWA FASHION na wewe fungua YAKO!!!


Kwa jina unaweza kumuita WAKITAA CHA PIL a.k.a