DMM!
DAR-MPAKA-MORO!
Jana katika soso fresh DAUDI WA KOTA alitoa ushuuda juu ya bata kwanda, bata kufika na bata kuludi!!! wakati daudi anatoa info kulikuwa na wadau mbalimbali studio uku wakiongozwa na the gossip cop him self. Mpaka dakika hizi raiya wapo batani!!!!
No comments:
Post a Comment