WAKITAA CHA PILI
Follow me! @wakitaa_cha_pil Add me! Wakitaa Cha Pil
Saturday, March 30, 2013
Sunday, January 6, 2013
MWAKA WA DIGITAL!??!!
Takwimu zangu zinaonyesha miezi
michache mbele mambo yatakuwa
hivi!!!
MCHUNGAJI! Bwana asifiwee!!
WAUMINI! Ameenh!
MCHUNGAJI! Tuchukue lapTop, ipad, tablets, na cm zetu tufungue wakorito 13:13! pia washeni bluetoth ili mpokeemahubir kwa wanao tumia facebook, twitter na BBM, mnaweza kunifuatilia huko!
BAADA YA MUDA!
MCHUNGAJI! wapendwa sasa ni wakati wa sadaka! Mnaweza kumtolea MUNGU kwa Tigo-pesa, M-pesa, AirTel money MBARIKIWE SANA
!!!!
DIGITAL IYOOOOO!!!!
Thursday, January 3, 2013
Picha Kumi na Sita! Siku ya Mwaka Mpya.. @ usalama ftat makumbusho!
CHIPPO
Karibu Mtungi.
Mama Ruiya Akiwagaiya Pipi watoto
Siku ya Mwaka Mpya
@usalama
Nyama Choma
Siku ya Mkesha wa mwaka mpya!
Devi na Kichere wanakata Nyama!
Mama Sofi! akifanya mchakato wa chakula.
siki ya Mkesha.
Washua Wanakula Mtungi!
Mamdogo Husna!
Nyama Choma, Kuku, Mbuzi
Devi, Kweli(Bigg) Wakitaa cha pil!
Bata.
Wakitaa cha pil
Nachoma Nyama!
Pesa Ndo Kila Kitu!
Monday, December 31, 2012
Sunday, December 30, 2012
Saturday, December 29, 2012
Mikausho mikali!!!!!
KAMA JUZI NA JANA!!!!
Unaweza sema ni masihara ila huu ndo ukweli wenyewe, pia unaweza sema blog ZIMEKUWA FASHION na wewe fungua YAKO!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)